TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Sally McLellan

The Typologically Different Question Answering Dataset

Sally alizaliwa mjini Sydney na wakahamia Gold Coast alipokuwa umri wa miaka 8. Ilikuwa pale, wakati yeye bado alikuwa katika shule ya msingi,ndipo kipaji chake cha riadha ikaonekana na Sharon Hannan ,ambaye ni kocha wake hadi sasa. [10] Sally alipata umaarufu katika mwaka wa 2001,akiwa umri wa miaka 14 tu,akashinda mbio ya 100m ya Australia ya walio chini ya umri wa miaka 20. Baada ya shida za kujeruhiwa katika mwaka wa 2002,alikimbia mbio yake ya kimataifa ya kwanza katika Mbio ya Dunia ya Ubingwa ya Vijana,Sherbrooke,Kanada na akashinda mbio ya 100m kuruka viunzi. Mwezi uliofuata,akiwa umri wa miaka 16 ,aliwakilisha Australia katika ngazi ya Mashindano ya Mabingwa ya Dunia ya 2003,Paris,Ufaransa kama mmola wa wanariadha wa timu ya mbio ya 4x100m. Ilipofika mwaka wa 2004,alishinda medali ya shaba katika mbio ya 100m katika Mbio ya Dunia ya Vijana ya Mabingwa, na akakosa tu kwa kidogo sana medali katika mbio ya 100m ya kuruka viunzi.

Sally McLellan alijiunga na riadha mwaka gani?

  • Ground Truth Answers: 20012001

  • Prediction: